Hi there! How can we help you today?
Seti ya taulo 3 (Bath Towel, Hand Towel & Face Towel) za pamba laini za ubora wa juu, zinayonya maji haraka, laini kwa ngozi na zinazodumu kwa muda mrefu. Zinatoa muonekano wa kifahari kwa matumizi ya nyumbani, hotel, spa au lodge.
i
SKU: SF-2443-CRW9
Categories: Clothing
Product Description
Luxury Cotton Towels Set ni seti ya taulo tatu (3) za ubora wa juu zilizotengenezwa kwa pamba laini (premium cotton) kwa ajili ya faraja na matumizi ya muda mrefu. Seti hii inajumuisha Bath Towel, Hand Towel na Face Towel, zote zikiwa na uwezo mkubwa wa kunyonya maji, laini kwa ngozi na zinazodumu hata baada ya kufuliwa mara nyingi. Taulo hizi zinatoa muonekano wa kifahari unaofaa kwa matumizi ya nyumbani, hotel, lodge au spa.
Your email address will not be published. Required fields are marked *
Please login to write review!
Looks like there are no reviews yet.
Find answers to common questions about this product